UCSAF kujenga minara mingine 280, lengo ni kuifungua nchi

Dodoma. Mfuko wa Mawasiliano kwa Wote (UCSAF) umetangaza kuanza ujenzi wa minara mingine 280 katika awamu ya 10 ili kuifungua Tanzania katika mawasiliano hasa maeneo ambayo yalikosa huduma hiyo. Kabla ya kuanza kwa ujenzi wa minara hiyo, tayari UCSAF imejenga minara 758 ambayo utekelezaji wake upo kwa asilimia 97, hivyo ujenzi wa minara mipya utafikisha…

Read More

WATUMISHI CCM WANOLEWA KUHUSU FURSA ZA MASOMO NJE YA NCHI

Chama Cha Mapinduzi (CCM) kupitia Idara ya Mambo ya Siasa na Uhusiano wa Kimataifa (SUKI), kimefanya mafunzo kwa watumishi wa chama na jumuiya zake kuhusu umuhimu wa kujiendeleza kielimu kupitia fursa zinazopatikana kimataifa. Mafunzo hayo yamefanyika Oktoba 3, 2024 katika ukumbi wa ofisi za Makao Makuu ya CCM, Dodoma na kuhudhuriwa na watumishi wa CCM,…

Read More

MWENGE WA UHURU WATUA LINDI, KUTEMBELEA MIRADI 53

Mkuu wa Mkoa wa Lindi Mhe. Zainab Telack leo, Mei 24, 2024 amepokea Mwenge wa Uhuru kutoka kwa  mkuu wa Mkoa wa kusini Unguja Mhe. Ayoub Mohammed Mahmoud, ambapo unatarajia kuweka mawe ya msingi , kuweka ma we ya msingi na kuzindua miradi mbalimbali ya maendeleo yenye thamani ya shilingi bilioni 45.9 Makabidhiano ya Mwenge…

Read More

India kuwekeza kituo cha matibabu Zanzibar

Unguja. Wakati India ikiwa moja ya mataifa yaliyoendelea katika masula ya afya na teknolojia, kampuni kubwa kutoka nchini humo zimeonesha nia ya kuwekeza Zanzibar katika sekta za viwanda na tiba hususani katika ujenzi wa kituo maalumu cha kutoa matibabu ya kibingwa. Hatua hiyo imefikiwa baada ya kampuni zaidi ya 20 kutoka nchini humo kufika kisiwani…

Read More

Benki ya Stanbic yatoa zawadi za msimu wa sikukuu kupitia Kampeni ya Masta wa Miamala

Benki ya Stanbic Tanzania imetoa zawadi za msimu wa sikukuu kupitia kampeni inayoendelea ya Masta wa Miamala. Akizungumza kwenye hafla hiyo iliyoambatana na semina kwa vijana kutoka taasisi mbalimbali, Mkuu wa kitengo cha Wateja Binafsi wa Benki ya Stanbic, Emmanuel Mahodanga alisema “Kampeni hii ya miezi mitatu inalenga kuongeza matumizi ya njia mbalimbali za malipo…

Read More

Ujenzi wa nyumba Hanang wafikia asilimia 40

Arusha. Wakati ujenzi wa nyumba za waathirika wa mafuriko ya Hanang ukipiga hatua kufikia asilimia 40, Katibu Mkuu wa Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge na Uratibu), Dk Jim Yonazi amesisitiza uwekwaji wa anwani za makazi katika eneo linalojengwa nyumba 108 za waathirika hao. Ujenzi wa nyumba hizo unakuja baada ya wakazi wa eneo hilo…

Read More