MIRADI YA SHILINGI BILIONI 85 KUCHOCHEA USHIRIKIANO WA TANZANIA NA AUSTRIA
***** Tanzania na Austria zimekubaliana kuimarisha ushirikiano wa kimaendeleo kupitia utekelezaji wa miradi mbalimbali ya kimkakati yenye thamani ya Euro milioni 30 (takriban Shilingi bilioni 85), itakayolenga sekta za elimu, usalama na ufundi. Hayo yameelezwa na Naibu Waziri wa Fedha, Mhe. Mhandisi Mshamu Munde, Machi 23, 2026 jijini Dar es Salaam wakati wa mazungumzo na…