Simba yapanda nafasi ya pili ikiichapa TRA United

Klabu ya Simba imeibuka na ushindi wa mabao 3-0 katika mchezo wa Ligi Kuu Bara ambapo timu hiyo sasa imesogea hadi nafasi ya pili katika msimamo wa ligi ikifikisha pointi 31 ikiishusha Azam FC ambayo ina pointi 29 katika nafasi ya tatu. Katika mchezo huo uliopigwa kwenye Dimba la Major General Isamuhyo, Mbweni, Dar es…

Read More

Aliyekutwa akisafirisha kokeni jela maisha

Arusha. Mahakama Kuu Divisheni ya Makosa ya Rushwa na Uhujumu Uchumi ,imemuhukumu kifungo cha maisha jela, Hemed Mrisho, maarufu Horohoro baada ya kumtia hatiani kwa kosa la kusafirisha dawa za kulevya aina ya kokeni gramu 326.46. Hukumu hiyo ilitolewa Septemba 23, 2025 na Jaji Sedekia Kisanya aliyekuwa akisikiliza kesi hiyo ya uhujumu uchumi ya mwaka…

Read More

Wadau wakutana kitathmini lishe | Mwananchi

Morogoro. Tathmini ya mapambano dhidi ya udumavu na upungufu wa lishe bora hasa kwa watoto chini ya miaka mitano na wajawazito, imebaini uwepo wa changamoto kadhaa ikiwamo uelewa mdogo wa wazazi na walezi. Hayo yamebainika katika kikao cha viongozi wa Halmashauri ya Mji wa Ifakara, wataalamu kutoka sekta mbalimbali pamoja na wadau wa lishe kuhusu…

Read More

Meridianbet Kuitikisa Mitaa Na Mystery Multiplier

MERIDIANBET kwa mara nyingine tena imethibitisha kuwa si tu kinara wa michezo ya kubashiri, bali pia mbunifu mkuu wa promosheni zinazobadilisha tasnianzima ya michezo ya bahati nasibu. Safari hii, kampuni hiyo imezindua kampeni mpya kabambe, Mystery Multiplier Drop Campaign, ambayo tayari imeibua gumzo kubwa kwa mashabiki wa kasino mtandaoni. Kwa kawaida, promosheni nyingi huambatana na…

Read More

Bado Watatu – 40 | Mwanaspoti

TUKATOKA pale kituoni na tukachangukana. Mimi na Sufiani tulikodi bajaj tukaenda nyumbani. Kwa vile sote tulikuwa na makosa, hakukuwa na yeyote aliyemlaumu mwenzake.Siku iliyofuata tulikwenda kuandikisha maelezo yetu na hatimaye Raisa alifikishwa mahakamani kwa kosa la kuua. Wakati Raisa anafikishwa mahakamani, mimi na Sufiani tulikuwa tumeshaachana kutokana na tukio hilo. Hatukuwa tukiaminiana tena.Hapo ndipo nilipoamua…

Read More