NIT yaonesha ubunifu wa wanafunzi kwenye Maonesho ya Wakandarasi
NA EMMANUEL MBATILO, MICHUZI TV Dar es Salaam, Septemba 26, 2025 – Chuo Cha Taifa cha Usafirishaji (NIT) kimeshiriki katika Maonesho ya 22 ya Wakandarasi yanayoendelea katika viwanja vya Mlimani City, ambapo wanafunzi wake wametumia fursa hiyo kuonesha ubunifu wao kwa wananchi. Akizungumza katika maonesho hayo, mwanafunzi wa shahada ya Uhandisi wa Umeme, Mohamed Chipokoso,…