TLP yaahidi kampeni za amani, utulivu

Dar es Salaam. Chama cha Tanzania Labour Party (TLP), kinatarajia kuzindua kampeni zake Septemba 4, 2025 huku kikiahidi kuwa zitafanyika kwa amani na utulivu. Hayo yameelezwa leo Ijumaa Agosti 29, 2025 na mgombea urais wa chama hicho, Yustas Rwamugira, katika hafla ya wananchama kumpokea iliyofanyika makao makuu ya chama hicho Magomeni, Dar es Salaam akitokea…

Read More

RAIS MSTAAFU JAKAYA KIKWETE AZIDI KUNG’AA KIMATAIFA

……… Mwenyekiti wa Tume ya Umoja wa Afrika (AU), Mahamoud Ali Youssouf amemteua Rais mstaafu wa Awamu ya Nne, Jakaya Mrisho Kikwete kuwa mwakilishi maalum wa ngazi ya juu anayesimamia na kuratibu masuala ya amani na usalama katika eneo la Pembe ya Afrika. Aidha, Rais Kikwete atasimamia pia ushirikiano wa kisiasa na kiuchumi, migogoro na…

Read More

KUELEKEA UZINDUZI WA WAZOHURU APARTMENTS MATHIAS CANAL ACHANGIA VIFAA VYA MICHEZO VYA MIL 4 MANISPAA YA SINGIDA

Kuelekea uzinduzi wa WazoHuru Air BnB Apartments Mtaa wa Unyankae-Miembeni Manispaa na Mkoa wa Singida, Afisa Mtendaji Mkuu wa Kampuni ya Wazohuru Media Group Limited amechangia vifaa vya michezo kwenye shule za msingi katika Manispaa ya Singida vyenye gharama ya shilingi Milioni 4.2 Vifaa hivyo vya michezo ni pamoja na jezi Jozi moja yenye jezi…

Read More

Afya ya baba inavyoweza kuongeza hatari  kwa mjamzito

Dar es Salaam. Kwa muda mrefu mjadala wa afya ya ujauzito umejikita zaidi kwa mama, huku baba akionekana kuchangia mbegu pekee. Hata hivyo, kazi mpya za kitafiti zinaonyesha kuwa afya ya mwanaume kabla ya kutungisha mimba ina mchango mkubwa katika hatari na matokeo ya ujauzito. Utafiti uliochapishwa mwaka 2024 katika jarida la Cells uitwao: “The…

Read More