Madagascar yatinga fainali CHAN 2024 ikiichapa Sudan kwa Mkapa
TIMU ya taifa ya Madagascar imeweka historia kwa kutinga fainali ya michuano ya CHAN 2024 kufuatia kuibuka na ushindi wa bao 1-0 ndani ya dakika 120 dhidi ya Sudan katika mechi ya nusu fainali iliyochezwa leo Jumanne Agosti 26, 2025 kwenye Uwanja wa Benjamin Mkapa, Dar es Salaam. Hii ni mara ya kwanza kwa Madagascar…