Katiba ya Zanzibar inavyokinzana na ya JMT
Kimataifa, Tanzania ni nchi moja inayoongozwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ambaye ni mkuu wa nchi, mkuu wa Serikali na Amiri Jeshi Mkuu. Lakini kitaifa, Tanzania ni nchi moja yenye Katiba mbili, Katiba ya Jamhuri ya Muungano Tanzania na Katiba ya Zanzibar, yenye marais wawili, Rais wa JMT na Rais wa Zanzibar,…