Mgombea udiwani Marangu aahidi kushirikiana na mbunge kuleta maji
Moshi. Mgombea udiwani wa Kata ya Marangu Mashariki kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM), Innocent Shirima ameahidi kushughulikia changamoto zinazowakabili wananchi wa kata hiyo, ikiwemo upatikanaji wa maji safi na salama, barabara za ndani pamoja na ajira kwa vijana. Akizungumza leo Septemba 26, katika mkutano wa kampeni uliofanyika Uwanja wa Marangu Mtoni, Shirima amesema changamoto kubwa…