MUHEZA YAIGARAGAZA BUMBULI MAGOLI 3-2 MICHEZO SHIMISEMITA

Na Oscar Assenga,TANGA TIMU ya Mpira wa Miguu ya Halmashauri ya Wilaya ya Muheza imebamiza Halmashauri ya wilaya ya Bumbuli mabao 3-2 katika michuano ya Shirikisho la Michezo la Mamlaka za Serikali za Mitaa kaika mchezo uliochezwa kwenye viwanja vya Shule ya Ufundi Tanga. Shirikisho hili la Michezo linahusisha watumishi waliopo katika Mamlaka za Serikali…

Read More

PROF. SHEMDOE, BALOZI WA TANZANIA UFARANSA, WAJADILI MIKAKATI KUVUTIA UWEKEZAJI BONDE LA MSIMBAZI

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu – TAMISEMI, Mhe. Prof. Riziki Shemdoe, amekutana na Balozi wa Tanzania nchini Ufaransa, Mhe.Ali Mwadini, kujadili mikakati ya kuvutia na kutafuta wawekezaji katika eneo la Bonde  la Msimbazi lililopo jijini Dar es Salaam. Katika mazungumzo hayo, viongozi hao wamekubaliana kuwa na mpango madhubuti wa kutafuta wawekezaji wa kimataifa…

Read More

ZEC yateua 11 kugombea urais, wakabidhiwa magari

Unguja. Tume ya Uchaguzi Zanzibar (ZEC) imewateua wagombea wote 11 waliorejesha fomu kuwania kiti cha urais Zanzibar. Pamoja na kuwapa vyeti vya uteuzi, ili kuweka mazingira ya usawa, haki na usalama kwa wagombea wote, wamewapa magari mapya aina ya Toyota Land Cruiser (VXR), mlinzi na dereva. Akizungumza wakati wa kutangaza uteuzi wao, leo Septemba 11,…

Read More

PROF. KABUDI ASHIRIKI MAADHIMISHO YA SIKU YA JUMUIYA YA MADOLA JIJINI LONDON

:::::::: Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais (Kazi Maalum), Prof. Palamagamba Kabudi, ameshiriki katika maadhimisho ya Siku ya Jumuiya ya Madola yaliyofanyika jijini London, Uingereza, yakihusisha nchi wanachama 56 wa jumuiya hiyo. Sherehe hiyo ilijumuisha matukio mbalimbali, ikiwemo hafla ya kupandisha bendera katika Bunge la Uingereza, uwekaji wa shada la maua katika Milango ya Kumbukumbu…

Read More

Sumaye asema Samia amedumisha amani, utulivu nchini

Mwanga/Same. Waziri Mkuu mstaafu wa Tanzania, Frederick Sumaye amesema miaka minne ya utawala wa Samia Suluhu Hassan umedhihirisha uimara wake wa kudumisha amani na utulivu nchini na kurudisha uhusiano wa kidiplomasia duniani. Wakati Sumaye akieleza hayo, mgombea mwenza wa urais wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Dk Emmanuel Nchimbi amesema Samia anaishi kiapo alichokiapa cha kuilinda…

Read More

MWENYEKITI WA KAMATI YA TEITI APONGEZA MGODI WA DHAHABU WA GEITA KWA KUTEKELEZA SHERIA NA MIRADI YA CSR

📍*Geita.* Mwenyekiti wa Kamati ya TEITI, Balozi Wilson Masilingi, ametembelea Mgodi wa Dhahabu wa Geita Gold Mining Limited akiambatana na Menejimenti ya TEITI, kwa lengo la kujitambulisha na kufanya mazungumzo na menejimenti ya mgodi huo. Akizungumza wakati wa ziara hiyo, Balozi Masilingi alisema ziara hiyo imelenga kujenga na kuimarisha ushirikiano kati ya TEITI na wadau…

Read More