
MWENGE WA UHURU KUPITIA MIRADI YA BILIONI 1.6 CHATO
Vyumba viwili vya madarasa shule ya msingi Nyabilezi Shule ya Sekondari Kitela ikiwa ni miongoni mwa miradi itakayopitiwa na Mwenge wa Uhuru Nyumba ya kulala wageni(The Grace Hotel) iliyopo kata ya Bwanga ambayo miongoni mwa miradi itakayowekewa jiwe la msingi na mwenge wa uhuru. ……….. JUMLA ya miradi yenye thamani ya shilingi Bilioni 1.6 inatarajiwa…