Wasira: Wagombea msibweteke kaombeni kura kwa wananchi

Mbeya. Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Bara, Stephen Wasira, amesema hakuna mgombea aliyepita bila kupingwa, na amewataka wagombea wa chama hicho kuendelea kusaka kura kwa wananchi nyumba kwa nyumba. Amesema lengo la kusaka kura ni   kuhakikisha ushindi wa kishindo katika Uchaguzi Mkuu unaotarajiwa kufanyika Oktoba 29, 2025 unapatikana. Wasira ametoa kauli hiyo leo,…

Read More

Wadau wajadili kubadili tafiti za vyuo vikuu kuwa biashara

Unguja. Licha ya Vyuo Vikuu vya Afrika Mashariki (EA) kuzalisha tafiti nyingi, vipaji na miliki bunifu, imeelezwa ni uvumbuzi mchache unaofanikiwa kuingia sokoni kama biashara endelevu na zenye uwezo wa kukua. Ili kubadilisha hali hiyo, Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar kwa kushirikiana na Shirika la Umoja wa Mataifa la Maendeleo (UNDP Tanzania) na Chuo cha…

Read More

DK SAMIA AACHA TABASAMU KWA WANANCHI NYASA … AHIDI MTAMBO KUKAUSHA SAMAKI MBAMBABAY

Na Said Mwishehe,Michuzi TV- Ruvuma MGOMBEA urais kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM)Rais Dk.Samia Suluhu Hassan amewapongeza  wananchi wa Mkoa wa Ruvuma kwa uzalishaji mzuri wa mazao ya biashara na chakula  Ametoa pongezi hizo leo Septemba 21,2025 alipokuwa katika mkutano wa kampeni kuelekea Uchaguzi Mkuu akiwa Uwanja wa Mbambabay wilayani Nyasa mkoani Ruvuma ambapo ameeleza hatua…

Read More

SERIKALI KUSAIDIA ZAIDI SEKTA BINAFSI KUCHANGIA MAENDELEO YA KIUCHUMI InboxSearch for all messages with label Inbox

Naibu Waziri wa Fedha, Mhe. Mhandisi Mshamu Ali Munde (Mb)(kulia) akiagana na Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa Kampuni ya Serengeti Breweries (SBL), Bw. Paul Makanza, baada ya kikao chake na ujumbe kutoka kampuni hiyo, katika Ofisi Ndogo ya Wizara ya Fedha, jijini Dar es Salaam, ambapo walijadili umuhimu wa kudumisha mazingira thabiti na yanayotabirika…

Read More

Kesi ya kikatiba kupinga ulimaji, matumizi ya tumbaku Tanzania yatupwa

Dodoma. Mahakama Kuu imeitupa kesi ya kikatiba iliyofunguliwa na Watanzania wanne wakiibana Serikali isitishe kilimo na matumizi ya tumbaku, ikiwamo uvutaji wa sigara, kutokana na dosari za kisheria zilizobainika wakati wa kulipia nyaraka. Uamuzi wa kulitupa shauri hilo umetolewa Septemba 25, 2025, na nakala ya hukumu kupatikana leo Septemba 29. Katika kuhakikisha afya ya Watanzania…

Read More

‘Mfumo wa Kisiasa Husogea Pekee Unapotishiwa Moja kwa Moja’ – Masuala ya Ulimwenguni

na CIVICUS Jumatatu, Machi 23, 2026 Inter Press Service CIVICUS inajadili uchaguzi ujao wa Nepal na mwanaharakati wa vijana Anusha Khanal wa Gen Z Movement Alliance, muungano wa mashirika ya kiraia unaoongozwa na vijana unaohamasisha uwajibikaji wa kidemokrasia na mageuzi ya utawala nchini Nepal. Anusha Khanal Kufuatia kujiuzulu kwa Waziri Mkuu KP Sharma Oli kutokana…

Read More

Mapya yaibuka matokeo ya urais Tanzania

Arusha. Mahakama ya Afrika ya Haki za Binadamu na Watu (AfCHPR) imebaini kuwepo kwa upungufu katika Katiba ya Tanzania unaozuia kupingwa kwa matokeo ya uchaguzi wa urais mahakamani, ikisema kifungu kinachokataza hatua hiyo kinakiuka haki za binadamu. Katika hukumu iliyotolewa leo Ijumaa, Machi 6, 2026, kwenye kesi ya Ado Shaibu na wengine dhidi ya Jamhuri…

Read More