Barbara arudi Simba, Mo akijivua uenyekiti wa bodi

Simba imefanya mabadiliko makubwa ya Bodi ya Wakurugenzi baada ya mwekezaji Mohammed Dewji ‘MO’ akijiweka kando, huku akimteua Crescentius Magori kuchukua nafasi hiyo, ilihali CEO wa zamani wa klabu hiyo, Barbara Gonzalez akirejea klabuni. Mabadiliko hayo ambayo yametangazwa dakika chache zilizopita, MO mbali na Magori aliyewahi kuwa, Mtendaji Mkuu wa klabu hiyo na mshauri wa…

Read More

Vyama vya upinzani vinavyosuasua kufanya kampeni

Dar es Salaam. Kampeni za uchaguzi mkuu mwaka huu zimefikia siku ya saba, huku wagombea urais wa baadhi ya vyama vya siasa wakisuasua kufanya mikutano ya kampeni kwa kile wanachodai wapo kwenye mipango ya kuibuka kwa kishindo. Pamoja na mikakati hiyo ya kuibuka kwa kishindo, suala la ukata nalo wamelitaja kuwa miongoni mwa sababu za…

Read More

Chaja (USB) zinavyogeuka mawindo ya wadukuzi

Shinyanga. Bila shaka umewahi kusikia kuhusu udukuzi mtandao ambao mara nyingi umekuwa ikihusishwa na mifumo ya intaneti kufika data ambazo mwenyewe hakutaka zifikiwe na mtu mwingine. Na pengine utakuwa umesikia kuhusu hatari ya kutumia WiFi za bure ambazo hazina ulinzi (unencrypted WiFi) na namna zinavyogeuka kuwa mawindo ya wadukuzi wenye nia tofauti. Ukiachana na hiyo,…

Read More

Museveni achaguliwa mwenyekiti mpya EAC

Arusha. Rais wa Uganda Yoweri Museveni amechaguliwa kuwa mwenyekiti mpya wa Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) kwa kipindi cha kuanzia Machi 2026 hadi 2028, akichukua mikoba kwa Rais wa Kenya William Ruto aliyemali muda wake. Museveni amechaguliwa leo Jumamosi, Machi 7, 2026 katika Mkutano wa kawaida wa 25 wa wakuu wa nchi wa EAC unaofanyika katika…

Read More

Odds Za Moto Leo! Freiburg, Barcelona na Dortmund Wanacheza

Je unajua ushindi wa haraka unaeza ukaupata Meridianbet ambao hawa ni wakali wa mambo ya ubashiri?. Kama hujajua basi ndio nakupa taarifa sasa unachotakiwa kufanya ni kuweka dau kwenye simu yako na kuanza kubashiri na Meridianbet leo. Ligi kuu ya Ujerumani, BUNDESLIGA itaendelea Freiburg ataumana dhidi ya Bayer Leverkusen  ambapo mechi ya mwisho kukutana kati…

Read More

Samia Aongoza Kikao Kizito cha Kamati Kuu CCM Dodoma

Global Publishers February 25, 2026 0 Comments Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ndugu. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiongoza Kikao cha kawaida cha Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM kilichofanyika mkoani Dodoma, tarehe 25 Februari, 2026. Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) na Rais wa Jamhuri…

Read More