Abbas anakataa shambulio la Hamas, anahimiza ulimwengu kutambua hali ya Palestina – maswala ya ulimwengu

Akiongea kupitia video, alisema zaidi ya Wapalestina 220,000 walikuwa wameuawa au kujeruhiwa kwa karibu miaka miwili ya mapigano – wengi wao wanawake, watoto na wazee, wakati watu milioni mbili walikuwa wanakabiliwa na njaa chini ya kizuizi. Zaidi ya asilimia 80 ya nyumba za Gaza, shule, hospitali, makanisa, misikiti na miundombinu zilikuwa zimeharibiwa, ameongeza. “Kile Israeli…

Read More

Msisimko wa Gates of Halloween Hauishi Meridianbet

NDANI ya ulimwengu wa burudani za mtandaoni, Meridianbet inaendelea kuleta uzoefu unaovuka mipaka ya kawaida kupitia mchezo wake wa kasino, Gates of Halloween. Mchezo huu umebeba mandhari ya Halloween kwa ubunifu wa kisasa, ukitoa hali ya kusisimua inayoweka mchezaji katikati ya hadithi ya kipekee. Kila mzunguko unajengwa kama tukio jipya, ukichanganya matarajio na burudani katika…

Read More

Tanzania kudhibiti kemikali hatari za dawa za kulevya

Nashville. Tanzania imeingia makubaliano na nchi zinazozalisha kwa wingi kemikali bashirifu zinazotumika katika utengenezaji wa dawa za kulevya ili kupunguza athari kwa vijana. Hayo yamesemwa na Kamishna Jenerali wa Mamlaka ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya (DCEA), Aretas Lyimo ambaye ameongoza ujumbe wa Tanzania kushiriki Mkutano wa 39 wa Kimataifa wa Mapambano Dhidi…

Read More

RAIS SAMIA APONGEZWA KWA KUTOA AJIRA MALIASILI NA UTALII

……………. Na Sixmund Begashe, Mwanza Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan amepongezwa kwa kutoa fursa ya ajira kwa vijana waliohitimu vyuo vilivyopo chini ya Wizara ya Maliasili na Utalii. Pongezi hizo zimetolewa na Naibu Katibu Mkuu (Uhifadhi) wa Wizara hiyo, Kamishna wa Polisi Benedict Wakulyamba, katika mahafali ya 61 ya Taasisi ya Taaluma ya Wanyamapori Pasiansi…

Read More

Yajue mambo yanayoharibu saumu | Mwananchi

Dar es Salaam. Katika Makala iliyopita tuliangazia sababu zinazoruhusu mtu Kisharia kufungua mchana wa Mwezi wa Ramadhani, ambapo tulibainisha sababu tatu, ambazo ni kusafri safari ya halali, ukongwe na kuumwa. Makala hii ni mwendelezo… Mwanamke mwenye hedhi au nifasi ni haramu kwake kufunga. Na akifunga saumu yake si sahihi. Mtume (Rehema na amani zimshukie) amesema:…

Read More