
Udsm, China waanzisha kituo cha elimu ya kidijitali kwa walimu
Dar es Salaam. Katika kuelekea maendeleo ya elimu kwa kutumia teknolojia ya kidijitali, Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (Udsm) kwa kushirikina na Chuo Kikuu cha Zhejiang Normal cha nchini China, wamefungua Kituo cha ushirikiano wa elimu ya kidijitali mahususi kwa ajili ya kuwapatia mafunzo walimu. Kituo hicho kitakachoitwa ‘China-Africa Regional Centre for Digital Education…