Miaka 13 ya vita vya wenyewe kwa wenyewe Syria imefika mwisho?
Dar es Salaam. Swali ambalo wengi wanajiuliza ni kwamba kupinduliwa kwa Rais Bashar al-Assad nchini Syria itakuwa mwanzo wa maisha mapya ya amani kwa Wasyria baada ya mapigano ya wenyewe kwa wenyewe yaliyodumu kwa miaka 13? Mapigano nchini humo yalianza 2011 baada ya vuguvugu la kumng’oa Assad kushindikana hadi kufikia jana, Desemba 8, 2024, huku…