MUHIMBILI YAKANUSHA KUWAFUTA KAZI WAFANYAKAZI 200
:::: Hospitali ya Taifa Muhimbili imekanusha taarifa inayosambaa mitandaoni kuwa imewafuta kazi wafanyakazi 200 kwa kuwa haina fedha za kuwalipa. Taarifa iliyotolewa na hospitali hiyo imesema hadi kufikia Septemba 25, 2025, ina jumla ya wafanyakazi 4,326 ambapo wenye mikataba ya muda mfupi ni 251. “Tangu Januari hadi Septemba 25, 2025, Hospitali imepokea wafanyakazi wa ajira…