WAKULIMA WATAKIWA KUTUMIA MBEGU ZA KUKABILIANA NA MABADILIKO YA TABIA NCHI
Mwandishi wetu, Arusha Wakulima wa mazao mbalimbali ikiwepo mbogamboga na matunda nchini, wametakiwa kutumia mbegu bora zinazoweza kukabiliana na athari za mabadiliko ya tabia nchi. Hivi sasa Ongezeko la joto ardhini katika maeneo mengi nchini linalosababisha mbegu za mazao na mazao yaliyopandwa kuharibika na kushindwa kutoa mazao bora. Mtaalam wa sayansi ya mimea wa kampuni…