MAKINIKIA TANZIA: KAPTENI ABBAS MWINYI KUZIKWA KESHO UNGUJA, RAIS MWINYI ASITISHA ZIARA YAKE YA KAMPENI KISIWANI PEMBA
Mhe. Dkt. Hussein Ali Mwinyi, Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, ambaye pia ni Mgombea wa Nafasi ya Rais wa Zanzibar kupitia CCM, amewasili Unguja akitokea Pemba kufuatia msiba mzito wa kaka yake, Mhe. Kapteni Abbas Ali Mwinyi, aliyefariki dunia leo tarehe 25 Septemba 2025 katika Hospitali ya Lumumba, Unguja. Marehemu Kapteni…