Shauri la Kikatiba lililofunguliwa na TLS latupwa
Dar es Salaam. Dosari za kisheria katika hati ya kiapo cha rais wa chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS), Boniface Mwabukusi, kimesababisha shauri la kikatiba lililofunguliwa dhidi ya Inspekta Jenerali wa Polisi (IGP), kutupwa na mahakama. Uamuzi wa kutupa shauri hilo baada ya kubainika dosari hizo, umetolewa jana Jumatano, Machi 11, 2026 na jopo la majaji…