‘Waandishi wa habari msiwe maofisa uhusiano wa wagombea’
Shinyanga. Kamishna wa Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora, Nyanda Shuli, amewataka waandishi wa habari kuepuka kuwa maofisa mahusiano wa wagombea, na badala yake kutumia kalamu zao kwa uadilifu katika kutoa taarifa sahihi kwa umma. Amesema ni muhimu vyombo vya habari vikazingatia maadili ya taaluma yao ili kusaidia kulinda amani na mshikamano wa…