Simba kuna sapraizi | Mwanaspoti

UKIWEKA kando kile kilichotokea usiku wa jana pale kwenye Dimba la Obed Itani Chilume lililopo Francistown, Botswana, Simba imewaandalia sapraizi mashabiki wake jijini Dar es Salaam ikiwa ni kuwafuta machozi baada ya kupigwa katika Ngao ya Jamii dhidi ya Yanga. Sapraizi hiyo ni katika mchezo wa marudiano wa Ligi ya Mabingwa Afrika hatua ya awali…

Read More

TEC yatoa taarifa misa ya kumuaga Askofu Mkuu Rugambwa

Dar es Salaam. Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania (TEC), limetoa taarifa ya mazishi ya Askofu Mkuu, Novatus Rugambwa, aliyekuwa Balozi wa Papa nchini New Zealand. Askofu Mkuu Rugambwa alifariki dunia Septemba 16, 2025 akiwa Roma, nchini Italia. Taarifa hiyo iliyotolewa leo Septemba 19, 2025 imeeleza Sekretarieti ya TEC inawafahamisha makardinali, maaskofu wakuu, maaskofu, mapadri, watawa…

Read More

Mteule Geita Mjini kuanza na vipaumbele hivi

Geita. Mgombea ubunge wa Jimbo la Geita Mjini, Chacha Wambura amesema endapo atachaguliwa kuongoza jimbo hilo kwa kipindi cha 2025/30 kipaumbele chake cha kwanza ni kuboresha sekta ya elimu, maji, afya na miundombinu ya barabara. Akizungumza wakati wa uzinduzi wa kampeni uliofanyika katika Kijiji cha Nyaseke, Kata ya Bulela leo Septemba 15, 2025, mgombea huyo…

Read More

Serikali kuanziasha Ligi ya wazawa tu, Makonda ataja sababu

Waziri wa Habari, Sanaa, Utamaduni na Michezo, Paul Makonda amefichua mpango wa kuanzishwa kwa Ligi ya Soka ambayo itahusisha wachezaji wazawa tu. Makonda amesema hayo juzi wakati akifungua kikao cha Maofisa Michezo na Utamaduni kinachofanyika jijini Arusha. “Namshukuru sana Mheshimwa Waziri Mkuu, Dokta Lameck Mwigulu na juzi nimefanya naye kikao ameridhia kuyaandikia mashirika yote nchini…

Read More

Wadau waonyesha njia kukabili tatizo la ajira

Arusha. Ufanisi mdogo wa vitendo katika utendaji kazi miongoni mwa wahitimu wa vyuo vikuu nchini, umeelezwa kuwa moja ya kikwazo cha vijana kushindana katika soko la ajira, ndani na nje ya nchi. Kauli hiyo imetolewa leo, Alhamisi Agosti 28, 2025, jijini Arusha na Mhadhiri na Mratibu Msaidizi wa Mradi wa Elimu ya Juu kwa Mageuzi…

Read More

Msimu wa Kelvin John Denmark

MSHAMBULIAJI wa AaB Fodbold ya Denmark, Kelvin John licha ya timu yake hiyo kupoteza kwa mabao 2-1 dhidi ya Lyngby Boldklub amezidi kuwa bora na amesema huu ni msimu wake wa kuonyesha kiwango bora. Jana, timu ya Mtanzania huyo ilipoteza mabao 2-1 dhidi ya Lyngby Boldklub kwenye muendelezo wa Ligi Daraja la Kwanza Denmark na…

Read More