
Wazazi wapewa rungu kudhibiti watoto wao kutumia ChatGPT
Dar es Salaam. Baada ya kuripotiwa kwa baadhi ya kesi zinazohusu matumizi mabaya ya teknolojia ya Akili Unde (AI) ya ChatGPT kwa watoto ikiwemo kusababisha madhara kama kifo. Kampuni ya teknolojia ya OpenAI inayomiliki Akili Unde hiyo ya ChatGPT imetangaza kuja na mfumo wa udhibiti wa wazazi utakaowapa uwezo wa kuunganisha akaunti zao na za…