Mbarali kutumia Sh2.5 bilioni kukamilisha miradi viporo
Mbeya. Halmashauri ya Wilaya ya Mbarali, mkoani Mbeya, imekuja na mikakati maalumu ya kufanya tathmini na kutenga bajeti ya Sh2.5 bilioni kukamilisha miradi viporo kwa mwaka wa fedha 2026/2027. Kauli hiyo imekuja leo Machi 6, 2026, baada ya wananchi wa Kata ya Kongoro Mswisi, wilayani humo, kuiangukia halmashauri kuomba kukamilisha ujenzi wa miradi mbalimbali, ikiwepo…