
ZEC, vyama vya siasa na mustakabali wa uchaguzi
Hivi karibuni, vyama 18 vya siasa vilitia saini hati ya makubaliano ya kuendesha uchaguzi wa Zanzibar kwa misingi ya amani, uwazi na haki. Tukio hilo lilisimamiwa na Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi Zanzibar (ZEC), Jaji George Kazi. Mkataba huo unalenga kuhakikisha kwamba kampeni za uchaguzi mwaka huu zinazingatia maadili ya kisiasa kwa kutumia lugha ya…