
Iceland Yatajwa Tena Kuwa Nchi Yenye Amani Zaidi Duniani – Global Publishers
Taifa la Iceland, lililoko katika kanda ya Nordic, limeendelea kushikilia nafasi yake kama nchi yenye amani zaidi duniani kwa mujibu wa ripoti mpya ya Global Peace Index (GPI). Nchi hii ndogo, inayosifika kwa mandhari yake ya kuvutia ikiwemo milipuko ya volkano, chemchemi za maji moto na milima yenye theluji mwaka mzima, imekuwa mfano wa kipekee…