SERIKALI YATOA SIKU 90 WAMILIKI KUSAJILI MAENEO YA KAZI OSHA
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu-Kazi, Ajira na Mahusiano, Mhe. Deus Sangu, akizungumza na watumishi wa OSHA kwenye ziara ya kikazi katika Ofisi za OSHA Dar es Salaam. *************** Na Mwandishi Wetu Serikali imewataka wamiliki wa maeneo ya kazi nchini ambao maeneo yaohayajasajiliwa na Wakala wa Usalama na Afya Mahali pa Kazi (OSHA) kusajili…