


Mamia waliogopa kufa katika Landslide ya Darfur – maswala ya ulimwengu
Hadi watu 1,000 wanaogopa kufa katika janga hilo, ambalo lilitokea Jumapili katika Kijiji cha Tarsin, kilicho katika eneo la Jebel Marra kwenye mpaka wa Amerika ya Kati na Kusini mwa Darfur. Maporomoko ya ardhi yalisababishwa na siku za mvua nzito. “Ninaongeza rambirambi zangu za moyoni kwa familia za wahasiriwa na kwa watu wa Sudani wakati…

POSITIVE COOKER WACHOCHEA MATUMIZI YA MAJIKO JANJA YANAYOTUMIA UMEME KUPIKIA
Na.Mwandishi Wetu KAMPUNI ya Positive Cooker imeunga mkono juhudi za Serikali za kuondoa matumizi ya nishati chafu ya kupikia kwa kuendesha kampeni ya elimu kwa wananchi wa Dodoma juu ya matumizi ya majiko janja yanayotumia umeme katika kupikia. Akizungumza katika kampeni hiyo leo Septemba 2,2025 jijini Dodoma Meneja wa Positive Cooker Kanda ya Kati,…

Vyama vya upinzani vinavyosuasua kufanya kampeni
Dar es Salaam. Kampeni za uchaguzi mkuu mwaka huu zimefikia siku ya saba, huku wagombea urais wa baadhi ya vyama vya siasa wakisuasua kufanya mikutano ya kampeni kwa kile wanachodai wapo kwenye mipango ya kuibuka kwa kishindo. Pamoja na mikakati hiyo ya kuibuka kwa kishindo, suala la ukata nalo wamelitaja kuwa miongoni mwa sababu za…

Bashiri Mapema Anayeshuka Daraja EPL 2025/26
MSIMU mpya tayari umeanza na wakali wa ubashiri Meridianbet wamekupatia ODDS KALI kwa timu ambazo zinaweza kushuka daraja au zenye nafasi kubwa ya kwenda kushiriki CHAMPIONSHIP. Je bashiri yako unampa nani?. Tandika jamvi la kijanja hapa. Nafasi kwanza ya kushuka daraja msimu huu mpya wa 2025/26 wanapewa Burnley wakiwa na ODDS 1.30. Klabu hii imepanda…

NYENZO YA UTEKELEZAJI WA SERA YA MAENDELEO YA WATOTO IMEPATIKANA
“Programu hii ni muhimu sana kwa kuwa unajikita katika kuhakikisha kila mtoto wa Kizanzibari anapata malezi bora, afya njema, lishe inayostahiki, ulinzi, na fursa ya kujifunza katika hatua za awali za maisha yake” Amesema Abeida. Akizungumza katika kikao kazi hicho, Mtalaam wa Hifadhi ya Mtoto kutoka UNICEF ndugu Ahmed Rashid Ali amesema kuna umuhimu mkubwa…

Meridianbet Yaisogeza Mtaani Meridian Bonanza
MERIDIANBET imeusogeza kwenu mchezo mpya wa kasino mtandaoni, Meridian Bonanza, ambao tayari unazua shauku kwa wapenzi wa michezo ya kubashiri. Mchezo huu ni mkubwa, wa kisasa na wenye ubunifu wa hali ya juu, unaokuweka karibu na ushindi wa kusisimua kila unapopiga mzunguko wako. Meridian Bonanza inachagizwa upekee wake kwa kipengele cha Ante Bet. Wachezaji wanapewa…

MZUMBE NA UNDP WASAINI HATI YA MAKUBALIANO YA USHIRIKIANO
Mwakilishi Mkazi wa UNDP nchini Bw. Shigeki Komatsubara (kushoto) akisalimiana na Kaimu Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu Mzumbe Prof. Allen Mushi (kulia) baada ya kuwasili Chuo Kikuu Mzumbe kwa ajili ya Hafla ya utiaji saini wa Hati ya Makubaliano ya Ushirikiano kati ya Chuo Kikuu Mzumbe na UNDP Mwakilishi Mkazi wa UNDP nchini Bw. Shigeki…

Serikali yamaliza mgogoro wa ardhi Shinyanga
Shinyanga. Serikali imesema itatuma timu ya kamishna wa ardhi kwenda wilayani Kahama mkoani Shinyanga ili kuzitambua baadhi ya kaya zilizosahaulika wakati wa tathmini ya umilikishwaji wa ardhi katika eneo la zaidi ya ekari 300 za Chuo cha Maendeleo ya Wananchi (Mwanva) FDC. Wananchi hao ni wale waliosahaulika kwenye Takwimu zilizotolewa kwa Rais wa awamu ya…

Dkt. Mwinyi: Amani, mshikamano na utulivu chachu ya maendeleo Zanzibar
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mhe. Dkt. Hussein Ali Mwinyi amesema mafanikio makubwa yaliyopatikana katika uongozi wa Awamu ya Nane yametokana na kudumu kwa amani, mshikamano na utulivu nchini. Akizungumza leo, Septemba 2, 2025, Ikulu Zanzibar alipokutana na jopo la wahariri na waandishi wa habari, Dkt. Mwinyi alisema hali hiyo imeiwezesha…