Kocha Abdul Saleh amrithi Mngazija Uhamiaji FC

KIKOSI cha Uhamiaji FC kimemtambulisha Abdul Saleh Mohammed kuwa kocha mkuu wa timu hiyo akichukua nafasi ya Ali Bakar Mngazija. Mngazija ambaye ametimkia Coastal Union ya Tanga, aliitumikia Uhamiaji FC kwa msimu mmoja pekee wa 2024-2025 ambapo timu hito ilimaliza nafasi ya sita kwenye msimamo wa Ligi Kuu ya Zanzibar. Mbali na kufanya maboresho ya benchi la…

Read More

MARAIS AFRIKA WASHAURIWA KURUHUSU WANANCHI WAO KUFIKISHA MASHTAKA MAHAKAMA YA AFRIKA YA HAKI ZA BINAADAM NA WATU

Na Seif Mangwangi,  Michuzi TV Arusha WAKUU wa nchi wanachama wa umoja wa Afrika ambazo bado hazijaridhia itifaki ya uanzishwaij wa mahakama ya Afrika ya  Haki za binaadam na Watu(AfCPHR),  wametakiwa kuharakisha itifaki hiyo Ili kuruhusu Haki na demokrasia kutendeka katika nchi zao. Akizungumza kwenye hafla ya uzinduzi wa mwaka wa mahakama ya Watu na…

Read More

RAIS MSTAAFU JAKAYA KIKWETE AZIDI KUNG’AA KIMATAIFA

……… Mwenyekiti wa Tume ya Umoja wa Afrika (AU), Mahamoud Ali Youssouf amemteua Rais mstaafu wa Awamu ya Nne, Jakaya Mrisho Kikwete kuwa mwakilishi maalum wa ngazi ya juu anayesimamia na kuratibu masuala ya amani na usalama katika eneo la Pembe ya Afrika. Aidha, Rais Kikwete atasimamia pia ushirikiano wa kisiasa na kiuchumi, migogoro na…

Read More

Usiposafisha kinywa asubuhi, usiku haya yatakupata

Dar es Salaam. Wakati kesho Ijumaa, Machi 20, 2026 dunia ikiungana kuadhimisha Siku ya Afya ya Kinywa, imeelezwa kuwa,  baadhi ya watu bado hawalichukulii kwa uzito unaostahili suala la kutunza meno, fizi na ulimi. Siku hii ilianzishwa mwaka 2013 ikiwa na malengo mbalimbali ikiwamo kuongeza uelewa, kuwa watu wengi duniani walikuwa hawatilii mkazo afya ya…

Read More

Wawili Yanga waomba kumrithi Fadlu Simba

MIONGONI mwa makocha wanaotajwa kutuma maombi ya kazi pale Simba SC kurithi mikoba ya Fadlu Davids aliyetimkia Raja Casablanca ya Morocco siku chache zilizopita, ni pamoja na Patrick Aussems na Didier Gomes Da Rosa ambao waliwahi kukalia kiti hicho, sambamba na waliowahi kuifundisha Yanga, Luc Eymael na Miguel Gamondi.. Kwa sasa viongozi wa Simba wapo…

Read More

Majaliwa kufungua maonyesho ya madini Geita

Geita. Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa kesho Septemba 22, 2025 anatarajiwa kufungua maonyesho ya nane ya teknolojia ya madini mkoani Geita, yanayokutanisha washiriki zaidi ya 1,300 kutoka ndani na nje ya nchi zikiwamo China, Korea, Namibia, Kenya na Uganda. Maonyesho hayo yalianza Septemba 18, 2025 yanatarajiwa kufungwa Septemba 28, huku idadi ya washiriki ikiwa zaidi ya…

Read More

Hiki hapa chanzo cha ufaulu wa wanafunzi Ludewa

Njombe. Motisha kwa walimu imeelezwa kuwa chanzo cha Wilaya ya Ludewa kufanya kuongoza kwenye ufaulu wa wanafunzi matokeo ya mtihani wa taifa kidato cha sita na kushika nafasi ya kwanza kimkoa kati ya wilaya zote za Mkoa wa Njombe. Hayo yamesemwa leo Agosti 23, 2025 na Mkurugenzi Mtendaji Wilaya ya Ludewa Sunday Deogratias wakati wa…

Read More