
Dkt. Mwinyi: Amani, mshikamano na utulivu chachu ya maendeleo Zanzibar
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mhe. Dkt. Hussein Ali Mwinyi amesema mafanikio makubwa yaliyopatikana katika uongozi wa Awamu ya Nane yametokana na kudumu kwa amani, mshikamano na utulivu nchini. Akizungumza leo, Septemba 2, 2025, Ikulu Zanzibar alipokutana na jopo la wahariri na waandishi wa habari, Dkt. Mwinyi alisema hali hiyo imeiwezesha…