Ibenge aanza ligi na ushindi Azam ikiichapa Mbeya City
AZAM FC imeutumia vizuri uwanja wake wa nyumbani wa Azam Complex kuibuka na ushindi wa mabao 2-0. Huo ulikuwa mchezo wa kwanza wa Ligi Kuu Bara msimu huu kwa timu hiyo inayonolewa na Florent Ibenge. Ibenge ambaye hii ni mara ya kwanza kufundisha timu ya Tanzania, ameshuhudia vijana wake wakimkaribisha vizuri kupitia mabao ya Nassro…