Mgombea ubunge aonya uvunjifu wa amani kwenye uchaguzi
Mbeya. Mgombea ubunge wa viti maalumu Mkoa wa Mbeya, Suma Fyandomo amewataka wananchi kutokubali kurubuniwa kuingia kwenye vurugu za uvunjifu wa amani kuelekea Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 29, 2025. Fyandomo ametoa kauli hiyo leo Jumanne Septemba 23, 2025 kwenye mkutano wa hadhara wa kampeni za kumnadi mgombea urais, wabunge na madiwani uliofanyika katika Mtaa wa…