CP. WAKULYAMBA AWATAKA MAOFISA WA NCAA KUWA WAADILIFU.
********* Na Sixmund Begashe,Karatu Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Maliasili na Utalii anayeshughulikia Uhifadhi, Kamishna wa Polisi (CP) Benedict Wakulyamba, amewavisha vyeo Maofisa 22 na Askari watatu wa Jeshi la Uhifadhi la Mamlaka ya Hifadhi ya Ngorongoro (NCAA) waliokamilisha mafunzo ya mabadiliko kutoka mfumo wa kiraia kwenda kijeshi. Akizungumza katika hafla iliyofanyika Kituo cha Mafunzo…