Wanavyoizungumzia Siku ya Kimataifa ya Demokrasia
Dar es Salaam. Tanzania inaungana na mataifa mengine duniani kuadhimisha Siku ya Kimataifa ya Demokrasia ambapo baadhi ya wanasiasa na wanaharakati wametoa jumbe zao kuhusiana na siku hii ikiwemo kuhimiza kuzingatiwa kwa demokrasia nchini. Siku ya Kimataifa ya Demokrasia huadhimishwa kila Septemba 15 ya kila mwaka ambapo ulimwengu hutafakari umuhimu wa demokrasia katika maisha ya…