
Katibu mkuu mpya TFF anukia, Kidao akichomoka
NDANI ya siku sita kutoka leo, wakati wowote Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF), linaweza kuingia kwenye hatua kubwa ya mabadiliko kwa kuteuliwa katibu mkuu mpya. Taarifa kutoka TFF ni, Katibu Mkuu wa sasa wa shirikisho hilo, Wilfred Kidao yuko kwenye hatua za kuachia nafasi hiyo. Inaelezwa, Kidao ameshaandika barua ya kuomba kutoendelea na…