
FURSA YA UFADHILI WA MASOMO CHUO KIKUU HURIA CHA TANZANIA – MWANAHARAKATI MZALENDO
SERIKALI ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania inatekeleza Mradi wa miaka mitano wa Elimu ya Juu kwa Mageuzi ya Kiuchumi (HEET), ambao umefadhiliwa na Benki ya Dunia na unatekelezwa na Chuo Kikuu Huria cha Tanzania huku ukisimamiwa vyema na Wizara ya Elimu Sayansi na Teknolojia. Kupitia Mradi huu wa HEET, Serikali inatoa ufadhili…