TEITI YASHIRIKI MAONESHO YA NANE YA UWEKEZAJI KATIKA SEKTA YA MADINI MKOANI GEITA
-Tanzania yaendelea kutekeleza Vigezo vya Kimataifa vya EITI kikamilifu -Uwazi wa Mikataba katika sekta ya uziduaji waanza kutekelezwa. GEITA* Katika maonesho hayo yaliyofunguliwa tarehe 22 Septemba, 2025 na Mhe. Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Kassim Majaliwa Majaliwa.Imeelezwa kwamba, tangu Tanzania ijiunge na Asasi ya Kimataifa ya EITI iliyopo nchini Norway, TEITI imeendelea…