EU yatoa kauli barafu kilele cha Mlima Kilimanjaro

Moshi. Mabalozi 12 kutoka nchi wanachama wa Umoja wa Ulaya (EU) wametembelea Hifadhi ya Taifa ya Kilimanjaro (Kinapa) na kueleza kuwa zinahitajika jitihada za makusudi kunusuru barafu ya Mlima Kilimanjaro, ambayo imeendelea kupungua kutokana na athari za mabadiliko ya tabianchi. Akizungumza katika lango la Marangu, jana Septemba 19, 2025 wakati wa kuhitimisha ziara ya siku…

Read More

Mawakili wakimbilia mahakamani kumpiga ‘stop’ Ruto

KUNDI la mawakili na wanaharakati wameelekea mahakamani kumzuia Rais wa Kenya, William Ruto kutia saini Muswada wa Fedha wa 2024 na Muswada wa Kibali cha Matumizi ya Fedha wa 2024. Inaripoti Mitandao ya Kimataifa … (endelea). Mawakili saba wakiwemo Ndegwa Njiru, Jackline Mwangi, Lempaa Suyinka na Chama cha Wanasheria wa Mlima Kenya wanataka mahakama itoe…

Read More

JKT Queens, JKU kazi inaanza

BAADA ya jana kufunguliwa kwa michuano ya CECAFA ya wanawake kwa kuchezwa mechi mbili za makundi, CBE dhidi ya Rayon Sports na wenyeji Police Bullets dhidi ya Kampala Queens, leo saa 7:00 mchana JKT Queens itaikaribisha JKU Queens Zanzibar kwenye Uwanja wa Nyayo, Kenya.

Read More

Waangola wamchongonisha Pantev na mabosi Simba

KOCHA wa Petro Atletico ameondoka na furaha baada ya kuichapa Simba, lakini kuna kitu amesema lazima kitakoleza moto mbaya wa mwenzie Dimitar Pantev aliyepo Msimbazi. Petro iliifunga Simba kwa bao 1-0 kwenye Uwanja wa Benjamin Mkapa katika mechi yao ya ufunguzi ya Kundi D la Ligi ya Mabingwa Afrika ikiwa ni mara ya kwanza kwa…

Read More

Maofisa habari EA wapewa mbinu kukabili habari potofu mitandaoni

Arusha. Serikali imewapa kibarua maofisa uhusiano ya umma katika ukanda wa Afrika Mashariki kukabiliana na ongezeko la habari potofu, hasa kwenye mitandao ya kijamii zinazosababisha taharuki. Ili kufanikisha hilo, imewataka maofisa hao kukumbatia mapinduzi ya kidijitali, hususan matumizi ya teknolojia na Tehama, ili wabaini habari hizo haraka kabla hazijasambaa na kuleta madhara katika jamii. Hatua…

Read More

Kuchukua kijeshi kwa Israeli kwa Jiji la Gaza kunaweza kuashiria ‘kuongezeka kwa hatari’: Guterres – Maswala ya Ulimwenguni

Tangazo kufuatia mkutano wa baraza la mawaziri la Israeli “Alama ya kuongezeka kwa hatari na hatari ya kuongeza athari za janga tayari kwa mamilioni ya Wapalestina, na inaweza kuhatarisha maisha zaidi, pamoja na mateka waliobaki“Ilisema. taarifa alibaini kuwa Wapalestina huko Gaza wanaendelea kuvumilia janga la kibinadamu la idadi ya kutisha. Kuhamishwa zaidi, kifo na uharibifu…

Read More