Wadau wataka mabadiliko ya sheria wanaojaribu kujiua

Dodoma. Wakati wataalamu wa afya ya akili na wanasheria wakishauri kufanyika marekebisho ya sheria ili wanaojaribu kujiua wapewa tiba  saikolojia, badala ya kukabiliwa na mashtaka, baadhi ya waliofikwa na kadhia hiyo wameeleza wanayopitia. Kwa mujibu wa Sheria ya Kanuni ya Adhabu mtu yeyote anayejaribu kujiua ana hatia ya kosa. Akizungumza Septemba 10, 2025 wakati wa…

Read More

Watatu kortini wakidaiwa kusafirisha kilo moja ya cocaine

Dar es Salaam. Wafanyabiashara watatu, wakazi wa Manzese, jijini Dar es Salaam, wamefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, wakidaiwa kusafirisha kilo moja ya dawa za kulevya aina ya cocaine. Washtakiwa hao ni Salum Kilindo (46), Salum Hassan (33) na Sofia Ngawaya (34). Leo Ijumaa, Septemba 19, 2025, washtakiwa hao wamefikishwa mahakamani hapo na kusomewa…

Read More

Huwel anusa ubingwa mbio za magari 2025

DEREVA kutoka Iringa, Ahmed Huwel amejiweka katika nafasi nzuri ya kutwaa ubingwa wa taifa wa mbio za magari kwa mwaka huu kutokana na ushindi wake wa zile za Mkwawa zilizomalizika mkoani Morogoro mwishoni mwa juma. Huwel, ambaye alimaliza wa tatu nyuma ya mabingwa wa Afrika; Karan Patel na Samman Vohra, alikuwa ndiye bingwa wa mashindano…

Read More

Dk Slaa: Kampeni za uchaguzi hazijagusa masuala muhimu

Dar es Salaam. Katibu Mkuu wa zamani wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Dk Willibrod Slaa amesema kampeni za uchaguzi wa mwaka huu, zimekosa chama kinachozungumza masuala muhimu kwa raia. Dk Slaa anasema hayo, wakati chama chake kikiwa si miongoni mwa vinavyoshiriki uchaguzi kutokana na ajenda yake ya kudai mabadiliko mifumo ya uchaguzi maarufu…

Read More

Wanawake wa TCAA Watoa Msaada Gereza la Segerea Kuelekea Maadhimisho ya Siku ya Kimataifa ya Wanawake

Kuelekea Maadhimisho ya Siku ya Kimataifa ya Wanawake, wanawake kutoka Mamlaka ya Usafiri wa Anga Tanzania (TCAA) wametembelea Gereza la Wanawake Segerea jijini Dar es Salaam na kutoa msaada wa vifaa na mahitaji mbalimbali kwa ajili ya kuwafariji wafungwa wanawake na watoto wanaoishi gerezani hapo. Katika ziara hiyo, wanawake hao walikabidhi mahitaji muhimu kwa uongozi…

Read More

Mbeya City yarejea Bara kwa ushindi

BAO la Habib Kyombo dakika ya 56, limetosha kuipa Mbeya City ushindi wa 1-0 dhidi ya Fountain Gate katika mechi ya Ligi Kuu Bara uliochezwa kwenye Uwanja wa Tanzanite Kwaraa uliopo Babati mkoani Manyara. Kyombo alifunga bao hilo kwa penalti baada ya Riphat Khamis kuchezewa faulo ndani ya eneo la hatari na Mudrick Abdi wa…

Read More