SanlamAllianz Yazindua Rasmi Chapa Yake Tanzania

Sanlam na Allianz, makampuni mashuhuri katika sekta ya bima ambao waliungana pamoja mwaka 2023 kuunda kampuni kubwa zaidi barani Afrika ya huduma za kifedha zisizo za benki, SanlamAllianz, wamezindua rasmi chapa ya SanlamAllianz nchini Tanzania leo.  Uzinduzi umefanyika katika Hoteli ya Johari Rotana, Dar es Salaam.Uanzishwaji wa SanlamAllianz General Insurance Tanzania Ltd na SanlamAllianz Life…

Read More

Watafiti Nelson Mandela wagundua dawa ya malaria

Arusha/Dar. Watafiti wa Taasisi ya Afrika ya Sayansi na Teknolojia ya Nelson Mandela (NM-AIST) wamegundua dawa ya kutibu ugonjwa wa malaria isiyo na kemikali. Wataalamu hao kwa kushirikiana na watafiti kutoka taasisi zingine za tiba nchini Kenya (KEMR) na Afrika Kusini wamegundua dawa hiyo mwishoni mwa Julai, 2024 baada ya utafiti wa kina wa miaka…

Read More

SIO ZENGWE: VAR si kipaumbele cha nchi kwa sasa

KLABU 20 zinazoshiriki Ligi Kuu ya England (EPL) zimekubaliana kuendelea na matumizi ya teknolojia ya mwamuzi msaidizi wa video (V.A.R) baada ya kupiga kura katika Mkutano Mkuu wa mwaka kuamua kuhusu hoja ya Wolves iliyotaka teknolojia hiyo iondolewe msimu ujao wa 2024/25. Wolves iliwasilisha takriban hoja tisa ambazo ilisema zinaharibu mtiririko wa mchezo, kuvuruga furaha…

Read More

Morocco: Wale Niger tutamalizana nao vizuri tu

KOCHA wa timu ya Taifa Stars, Hemed Suleiman ‘Morocco’ amesema kikosi hicho kina nafasi kubwa ya kufanya vizuri katika mechi ya kufuzu Kombe la Dunia mwaka 2026, dhidi ya Niger itakayopigwa Septemba 9, kwenye Uwanja wa New Amaan Zanzibar. Kauli ya kocha huyo inakuja baada ya timu hiyo kushindwa kuwika juzi ugenini kufuatia kulazimishwa sare…

Read More

Bajaji za umeme Sabasaba zilivyorahisisha usafiri

Dar es Salaam. Pikipiki za umeme za magurudumu matatu (bajaji) zilizoanza kutumika kwa mara ya kwanza katika Maonyesho ya 49 ya Kimataifa ya Biashara ya Dar es Salaam (DITF), zimerahisisha usafiri kwa wageni na washiriki huku zikihamasisha matumizi ya nishati safi na kukuza utalii wa jiji. Tofauti na miaka iliyopita, wageni walitegemea huduma zisizo rasmi…

Read More

Wananchi wafunga barabara wakitaka ikarabatiwe

Morogoro. Wananchi wa Kata ya Lukobe Manispaa ya Morogoro jana Ijumaa Juni 7, 2024 wamefunga barabara ya Lukobe mwisho mpaka Mazimbu wakilalamikia ubovu wake unaosababisha wasifikiwe na usafiri. Mwananchi Digital imeshuhudia baadhi ya wakazi wa Lukobe wakiwa wamekusanyika na wakitoa kauli za kuitaka Wakala wa Barabara za Vijijni (Tarura) kuitengeneza kwa dharura barabara hiyo. Hassan…

Read More