
Shambulio la Israel laua 17 Palestina
Gaza. Mashambulizi ya Jeshi la Israel yameua Wapalestina 17, wakiwemo watu sita waliokuwa wanakitafuta misaada, huku Israel ikieleza kuwa mashambulizi hayo yalilenga kundi la Hamas na waliofariki ilikuwa ni kwa sababu zingine. Al Jazeera imeripoti kuwa, Israel ilitumia vifaru kulipua magari yaliyokuwa katika kitongoji cha Sheikh Radawan usiku wa kuamkia leo pia ilifanya mashambulizi ya…