Chama apata chimbo jipya Ligi Kuu Bara
KAMA ulikuwa na fikra kwamba Clatous Chama ndio basi tena katika Ligi Kuu Bara, basi pole kwani kiungo mshambuliaji huyo bado yupo sana na msimu ujao anatarajiwa kukiwasha akiwa na chama jipya la Singida Black Stars. Nyota huyo raia wa Zambia aliyekuwa akikipiga Yanga iliyomsajili msimu uliopita akitokea Simba na kumaliza na mabao sita na…