
UNATAKA RAIS ASIWE DK. SAMIA HALAFU AWE NANI? ACHA USHAMBA
Na Said Mwishehe,Michuzi TV KABLA ya kwenda mbali na kukumalizia bandle lako nataka nikwambie tu huu ni mwaka Uchaguzi Mkuu ikifika Oktoba 29,2025 tunaenda KUTIKI kwa mgombea Urais kwa tiketi ya CCM ,Rais Dk.Samia Suluhu Hassan. Ndio hivyo unakunja sura itakusaidia nini? kunjua sura ndungu yangu maisha yenyewe ndio haya haya. Sawa tufanye hutaki kumpa…