Sauti Jasiri ya Kizazi Kipya – Global Publishers

Katika mitaa yenye shamrashamra ya Jiji la Dar es Salaam na kwenye majukwaa ya mitandao ya kijamii yanayoendelea kushika kasi Afrika Mashariki, jina moja limekuwa gumzo—Kamshange. Akitambulika kwa utu wake usio na woga, ukweli wake usio na kificho, na mvuto wake wa kipekee kwenye vyombo vya habari, Kamshange amejiwekea nafasi kama mmoja…

Read More

KIBAHA KUANZA KILIMO CHA MBOGAMBOGA NA MATUNDA

Na Khadija Kalili, Kibaha WAZIRI wa Kilimo, Mhe. Daniel Chongolo, amesema Mkoa wa Pwani unatarajia kuanza mradi wa kilimo cha mbogamboga na matunda katika eneo lenye ukubwa wa ekari 200 lililopo Ruvu Stesheni, Kibaha Vijijini. Akizungumza leo Machi 16, 2026 wakati akikagua eneo hilo, Mhe. Chongolo alisema ameridhishwa na mandhari ya eneo hilo na kusisitiza…

Read More

Matawi ya CRDB kufungwa kwa siku tatu nchi nzima

Dar es Salaam. Benki ya CRDB imetangaza kufunga huduma katika matawi yake yote kwa siku tatu kuanzia Septemba 5 hadi 7 mwaka huu. Kufungwa kwa matawi hayo kunalenga kutoa nafasi kwa wataalamu kufanya maboresho na kuweka mifumo ya kisasa ili kuongeza ufanisi huduma zinazotolewa. Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na benki hiyo kwa umma, ndani…

Read More

Rais Trump Ahudhuria Hafla ya Kuaga Wanajeshi 6 Waliouawa Mashariki ya Kati – (Picha +Video)

Global Publishers March 8, 2026 0 Comments Rais wa Marekani, Donald Trump, amehudhuria hafla maalum ya kuwaenzi wanajeshi sita wa Marekani waliopoteza maisha yao kufuatia shambulio lililohusishwa na Iran katika kambi ya kijeshi nchini Kuwait. Hafla hiyo iliwakutanisha viongozi wa juu wa kijeshi, familia za wanajeshi waliouawa pamoja na maafisa wa serikali ya Marekani, ambapo…

Read More

Mtandao wa wizi wa pikipiki wafichuliwa, tisa wadakwa Iringa

Iringa. Jeshi la Polisi Mkoa wa Iringa limekamata pikipiki 115 na watuhumiwa tisa katika operesheni maalumu iliyovunja mtandao wa wizi na usambazaji wa pikipiki nchini. Akizungumza jana Machi 25, 2026 katika Kituo Kikuu cha Polisi Iringa, Kamanda wa Polisi Mkoa huo,  Allan Bukumbi, alisema operesheni hiyo ilianza Januari 17, 2026 Kihesa, ikihusisha ufuatiliaji wa kina…

Read More

SERIKALI INABORESHA MIUNDOMBINU ILI MTOTO WA KITANZANIA APATE HAKI YAKE YA MSINGI YA ELIMU BORA – PROF. SHEMDOE

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu -TAMISEMI Mhe. Prof. Riziki Shemdoe amesema Serikali kupitia Ofisi ya Waziri Mkuu – TAMISEMI inaendelea kusimamia uboreshwaji wa miundombinu ya elimu nchini, ili kuhakikisha kila mtoto wa Kitanzania anapata haki yake ya msingi ya elimu bora katika mazingira mazuri na rafiki ya ujifunzaji na ufundishwaji.  Prof. Shemdoe amesema,…

Read More

Bado Watatu – 15 | Mwanaspoti

“Nani ameleta taarifa hizo?”“Ni mwenyekiti wa mtaa huo.”“Polisi wameshakwenda?”“Wanajiandaa kuondoka.”“Kwaminchi ni kubwa, hilo tukio limetokea sehemu gani?”“Ametupa jina la mtaa na namba ya nyumba.”“Ni mtaa gani?” Polisi huyo alikuwa na kipande cha karatasi mkononi, akanisomea jina la mtaa huo na namba ya nyumba.“Hebu nipe hicho kikaratasi.” Polisi huyo akanipa kipande hicho cha karatasi. Baada ya…

Read More