Maandamano ya TLS yayeyuka, polisi wapiga kambi makao makuu

Dar/Mikoani. Maandamano ya mawakili wa Chama cha Mawakili Tanganyika (TLS) yaliyopangwa kufanyika nchi nzima leo Septemba 22, 2025 kupinga kushambuliwa kwa wakili Deogratius Mahinyila, yameyeyuka huku Jeshi la Polisi likiweka kambi kati ofisi za chama hicho. Maandamano hayo yalichochewa na tukio la Septemba 15, 2025 wakati kesi ya Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo…

Read More

Moto wateketeza stoo ya viatu Kariakoo

Dar es Salaam. Taharuki imetanda katika Mtaa wa Narung’ombe, Kariakoo baada ya sehemu ya jengo lenye ghorofa saba kuungua moto leo, huku chanzo cha moto kikiwa bado hakijajulikana. Moto huo umetokea leo Septemba 22, 2025 katika Mtaa wa Narung’ombe katika moja ya ghorofa linalotumika kuhifadhia mizigo ya wafanyabiashara mbalimbali waliopanga eneo la Kariakoo. Mashuhuda wamesema…

Read More

Samsung Galaxy A25 Yakungoja Ukicheza Super Heli

USHINDI haupo tu kwenye dau unaloliweka bali upo kwenye namna unavyozitumia fursa, na aina ya zawadiunazozipata. Meridianbet imebadilisha mchezo kwa kuleta ofa ya kipekee, simu mpya ya Samsung Galaxy A25 kwa wachezaji wa Super Heli. Hii si promosheni ya kawaida, ni mwaliko wa kuingia kwenye dunia ya ushindi wa teknolojia. Super Heli ni mchezo wa…

Read More

Kadi nyekundu yamliza Kikoti | Mwanaspoti

KIUNGO mshambuliaji wa Namungo, Lucas Kikoti amezungumzia tukio la kuwa mchezaji wa kwanza kuonyeshwa kadi nyekundu msimu huu 2025/26 kuwa amepata kadi hiyo akiwa katika majukumu ya kuipambania timu yake, lakini amesikitika kushindwa kumaliza mchezo. Kikoti ameingia katika rekodi ya kuwa mchezaji wa kwanza kuonyeshwa kadi nyekundu msimu huu baada ya Massoud Abdallah ‘Cabaye’ anayekipiga…

Read More