Madereva mkao wa kula mbio za Magari Afrika, Kabudi mgeni rasmi

Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Palamaganda Kabudi ndiye atazindua Mbio za Magari za Ubingwa wa Afrika 2025 ‘Mkwawa Rally of Tanzania’ keshokutwa Ijumaa, Septemba 19, 2025 mkoani Morogoro. Ofisa Habari wa Mashindano ya Magari Tanzania, Michael Maluwe amesema kuwa maandalizi yote muhimu kwa tukio hilo la uzinduzi yameshakamilika. “Madereva wameanza kuwasili Morogoro kwa…

Read More

Maison des Talibés Yakabiliana na Unyanyasaji wa watoto wa ‘Talibé’ nchini Senegal – Masuala ya Ulimwenguni

Mamadou Ba, rais na mwanzilishi wa Maison des Talibés, anazungumza na talibés huko Saint-Louis, Senegal, kwenye sherehe za ufunguzi wa kituo cha shirika mnamo Januari 1, 2026. Kwa Hisani: Ramata Haidara na Megan Fahrney (mtakatifu-louis, senegal) Ijumaa, Februari 27, 2026 Inter Press Service SAINT-LOUIS, Senegal, Februari 27 (IPS) – Unapotembea katika mitaa ya miji ya…

Read More

Mshambuliaji Mtanzania asimuliwa athari mgogoro Iran

WAKATI hali ya taharuki ikiendelea kuripotiwa katika baadhi ya maeneo ya Mashariki ya Kati kufuatia mshambulizi ya Israel na Marekani dhidi ya Iran, imeripotiwa wachezaji watatu wa Kitanzania wanaokipiga katika ukanda huo wako salama. Wachezaji hao ni mshambuliaji Simon Msuva anayekipiga Al Talaba ya Ligi Kuu Iraq, Clara Luvanga (Al Nassr, Saudia) na Morice Sichone…

Read More

William Lukuvi afariki dunia kwa mshituko wa moyo

Dar es Salaam. Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge, Uratibu na Wenye Ulemavu), William Lukuvi (70) amefariki dunia saa 1:00 asubuhi ya leo Jumatano, Machi 25, 2026 katika Hospitali ya Benjamin Mkapa jijini Dodoma. Kifo hicho kimetangazwa na Rais Samia Suluhu Hassan kupitia taarifa kwa umma iliyotolewa na Katibu Mkuu Kiongozi, Dk…

Read More

ZAIDI YA 1000 KUHUDHURIA MKUTANO WA NYAMA YA NGURUWE DAR

ZAIDI ya wajumbe 1,250 wa kimataifa na ndani wanatarajiwa kuhudhuria mkutano mkuu wa sekta ya nguruwe barani Afrika unaotarajiwa kufanyika nchini kuanzia Septemba 11 hadi 13, mwaka  Mkutano huo utafanyika Ubungo Plaza jijini Dar es Salaam, kuzungumzia  hatua muhimu kwa sekta ya ufugaji wa nguruwe inayokuwa kwa kasi nchini. Mkutano huo ulioandaliwa na Chama cha…

Read More

Kichanga chatupwa kichakani, chaokolewa na mpita njia

Tabora. Mtoto mchanga anayekadiriwa kuwa na saa chache baada ya kuzaliwa, ametupwa kichakani eneo ya Ipilili, Kata ya Nzega Magharibi, Wilaya ya Nzega mkoani Tabora, akiwa amefungwa kwenye kiroba. Akizungumza kwa njia ya simu na Mwananchi leo Februari 27, 2026, Kamanda wa Polisi Mkoa wa Tabora, Richard Abwao amethitibisha kutokea kwa tukio hilo, akisema wanaendelea…

Read More