DC NDILE AIPONGEZA TANESCO RUVUMA, ATAKA WAWAFATILIE WAKANDARASI KUTOAJIRI VIJANA WANAOWALAGHAI WANANCHI.

Mkuu wa Wilaya ya Songea Kapenjama Ndile, amelipongeza shirika la umeme Tanzania TANESCO kwa kuendelea kutoa huduma bora kwa wananchi kwani amekuwa akipokea zawadi kutoka kwa wateja wa shirika hilo waishio maeneo ya vijijini kumpongeza kwa jitihada zinazofanywa na TANESCO kufikisha huduma kwenye vijiji vyote. Mbali na mafanikio hayo, amewataka TANESCO kufanya uhakiki na ufuatiliaji…

Read More

NCHIMBI AFANYA MAZUNGUMZO NA MABALOZI WA NCHI NNE

  Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Balozi Dkt. Emmanuel John Nchimbi akizungumza na Balozi wa Algeria nchini Tanzania, Mhe. Ahmed Djellal, ambaye alifika ofisini kwa Balozi Nchimbi, Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM, Lumumba, jijini Dar Es Salaam, kwa ajili ya kuaga, leo Jumatano tarehe 12 Februari 2025. Katibu Mkuu wa Chama…

Read More

Hadi watu milioni moja wanapanga kurudi nyumbani kwa kukata tamaa – maswala ya ulimwengu

Kulingana na shirika la wakimbizi la UN, UNHCRWatu 600,000 wanaweza kuwa safarini katika miezi sita ijayo, kulingana na uchunguzi wake wa hivi karibuni. Msemaji wa UNHCR Celine Schmitt alisema Ijumaa kwamba watu watahitaji “makazi, kazi, shule, hospitali, umeme na maji safi” – yote ambayo yanakosekana baada ya miaka 14 ya mzozo wa raia. Alielezea kukutana…

Read More

NOVATUS DISMAS AJIUNGA NA GOZTEPE SK YA UTURUKI

#MICHEZO Klabu ya Soka ya nchini Uturuki, Gozpete SK imefaikiwa kuinasa saini ya Mchezaji wa Kimataifa Mtanzania Novatus Dismas Miroshi kutoka klabu ya S.V. Zulte Waregem ya Ubelgiji kwa mkataba wa miaka minne. Leo nyota huyo ametambulishwa rasmi kuwa mchezaji wa Klabu hio. Powered by @kobemotor @acbtanzania_ @vodacomtanzania @hisense_tanzania_official @betpawatanzania @wearekerry #KonceptTvUpdates

Read More

Jacob na Malisa wafikishwa kortini Kisutu

Dar es Salaam. Meya wa zamani wa Ubungo, Boniface Jacob na mwanaharakati Godlisten Malisa,  wamefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu kujibu mashtaka matatu ya kuchapisha taarifa za uongo kinyume na sheria. Washtakiwa hao wamefikishwa Mahakamani hapo Leo, Jumatatu Mei 5, 2024 na kusomewa mashtaka yao na wakili wa Serikali,  Neema Moshi akishirikiana na Happy…

Read More

Mbuzi walivyovumbua kahawa | Mwananchi

Dar es Salaam. Kwa wanaokunywa kahawa leo ni siku yao maalumu ya kujipongeza kwani dunia inaadhimisha Siku ya Kahawa. Kila mwaka ifikapo Oktoba mosi dunia huadhimisha Siku ya Kahawa Duniani. Kahawa inayotoka Afrika imekuwa ikisafirishwa hadi kwenye vikombe vya chai za asubuhi za kaya zote duniani kwa zaidi ya miaka 600 sasa. Mchakato wa kuandaa…

Read More

Mrithi wa Askofu Sendoro kujulikana leo

Mwanga. Mkutano Mkuu maalumu wa kumpata Mkuu wa Dayosisi ya Mwanga ya Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) umeanza, huku macho na masikio ya waumini yakisubiri kuona na kusikia ni nani atakayemrithi Askofu Dk Chediel Sendoro, aliyekuwa mkuu wa dayosisi hiyo. Mkutano huo, unaofanyika katika Kanisa Kuu Mwanga, unatarajiwa kuwa na wajumbe 135 na…

Read More