SGA SECURITY YASHINDA TUZO YA CHAGUO LA MTUMIAJI 2025
KAMPUNI ya Ulinzi ya SGA Security imetajwa tena kuwa miongoni mwa watoa huduma za usalama wanaoaminika zaidi barani Afrika, baada ya kushinda Tuzo ya Chaguo la Mtumiaji kwa mwaka 2025 (Consumer Choice Awards Africa 2025). Tuzo hiyo ilitangazwa kwenye tamasha la mwaka la utoaji wa tuzo hizo lililofanyika katika Ukumbi wa SuperDome, Masaki, jijini Dar…