WAFANYABIASHARA WA MADINI WAHIMIZWA KUTUMIA VIPIMO SAHIHI
GEITA Meneja wa Wakala wa Vipimo (WMA) Mkoa wa Geita Bi. Eva Ikula amewatakawafanyabiashara wa madini mkoani humo kuzingatia matumizi ya vipimo sahihikatika biashara yao ili kuhakikisha kunakuwa na usawa kwa pande zotezinazohusika na kuepusha upande wowote kupunjika. Ametoa wito huo Septemba 25, 2025 alipozungumza na waandishi wa habarikatika maonesho ya kimataifa ya teknolojia ya…