
Hospitali ya Mount Meru kuwatibu wagonjwa majumbani
Arusha. Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Arusha, Mount Meru, itaanza kutoa huduma ya matibabu kwa kuwafuata nyumbani wenye magonjwa ya muda mrefu, magonjwa sugu kama saratani na wenye changamoto za kiharusi. Huduma hiyo ambayo inatarajia kuanza kutolewa Oktoba mwaka huu, tayari Serikali imewekeza zaidi ya Sh300 kwa ajili ya ununuzi wa vifaa. Mganga Mfawidhi…