PROF.MKENDA:”MIFUMO YA ELIMU NCHINI LAZIMA IBADILIKE KUENDANA NA KASI YA MABADILIKO DUNIANI”

Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Prof. Adolf Mkenda amesema katika ulimwengu unaobadilika kwa kasi, mifumo ya Elimu Nchini lazima ibadilike ili kufikia malengo kwa kuwapatia vijana ujuzi, maarifa na maadili kuwawezesha kustawi na kuhimili ushindani katika karne ya 21. Mkenda amesema hayo leo Agosti 15, 2024 wakati akifungua Mkutano wa Elimu wa Kikanda wa…

Read More

Kilio uchache mabasi mwendokasi kukoma miezi mitatu ijayo

Dar es Salaam. Kiu ya wananchi kuhusu nyongeza ya mabasi yaendayo haraka katika Barabara ya Morogoro, inatarajiwa kukatwa miezi mitatu ijayo. Hiyo ni baada ya Kampuni ya Mabasi Yaendayo Haraka (Udart) kuweka wazi kuwa, baada ya miezi hiyo mabasi yote 100 yaliyoagizwa yatakuwa nchini tayari kutoa huduma. Taarifa hiyo inakuja katika kipindi ambacho, huduma za…

Read More

Serikali yaongezwa muda kujitetea kesi ya kura ya maoni

Tabora: Mahakama Kuu Masjala Ndogo Tabora imesogeza mbele tarehe ya usikilizwaji wa awali wa shauri la kura ya maoni kuhusu upatikanaji wa Katiba mpya. Shauri hilo la maombi mchanganyiko namba 3965/2025 limefunguliwa na mwanasheria, Alexander Barunguza dhidi ya Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC, zamani Tume ya Taifa ya Uchaguzi – NEC) na Mwanasheria…

Read More

Sillah: Bara inastahili namba nne Afrika

KIUNGO mshambuliaji wa Azam FC, Gibril Sillah amesema kwa namna Ligi ya Tanzania ilivyo ngumu na ushindani wa juu inastahili kutajwa kati ya zilizo bora barani Afrika ambapo kwa sasa ipo nafasi ya nne. Sillah alisema tangu aanze kucheza Ligi Kuu msimu uliopita, huu ndio msimu bora kwake kwa kiwango binafsi na ushindani wa mechi…

Read More

Askofu Shoo ataka mambo mawili uchaguzi mkuu

Moshi. Mkuu wa Dayosisi ya Kaskazini ya  Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), Dk Fredrick Shoo ameitaka Serikali kusimamia haki katika uchaguzi mkuu wa mwaka huu na kuhakikisha kunakuwepo na uhuru wa kuchagua na kuchaguliwa ili kuepusha  yaliyojitokeza katika chaguzi zilizopita kujirudia. Mbali na hilo amewataka pia wananchi, kutumia nafasi yao vizuri ya kushiriki…

Read More